Hawa wanaJF wafungue tu band yao

yani hizo id huwa nikiziona kicheko hakiniishi-kweli kuna watu duniani wanazaliwa kwa ajili ya kufurahisha watu
Hahaaaa yaani hawa noma sana coments zao kama hz..
*Mjambaji
-Usiseme unajamba wenye ushuzi wetu wa maana tumetulia kimya.
-Ungekua karibu ningekujambia

*Connor/The List
-Rubbish, Idiot, cheap wasted sperm.
Empty brain kabisa..

*Padri mcharo.
-Mm ndio maana nilihama ukatoliki nikaja uislam dini ya Hakhii Takbirrrr
-Ukiweka ushahidi navua nguo nakunya hapa kariakoo sokoni saa nane mchana.
-Nitakupiga Pipe lisengee ww..

*Alonso14
-Umeolewa mtoa mada?
-Unaliwa tigo
-unataka bwana..

Hawa viumbe noma sana
 
[emoji119]
 
Umemuacha Deogratius kisandu!!!? Naandamanaa
 
Padre Ncharo inabidi nimuongeze aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…