Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Padri mcharo ana Id kadhaa hapa jf...
2015 alijisajili kwa ID ya
Chief Engineer akabadilisha mwanzoni 2017 kua Padri mchoro..
In rality Taaluma yake huyu jamaa ni Engeneer sijui anafanyaje kazi aisee..
LAKINI Ana ID moja anaitumia maramoja moja na ndio aliitumia kumsifia ontari..
Inaitwa CCNP Engeneer.

Mi hakuna mtu ananichekeshaga humu JF kama Padri Mcharo
Yaani yule jamaa ni noma[emoji23]