witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaa haaa ngoja niingie nivunjike mbavu...Kipindi kile anatumia Id ya chief eng ndio alikua anachekesha kweli. Ula mm the best kwangu napenda wawe wanatukana muda wote ni GuDume, connor, Thr List, Alonso14, Padri mcharo mcharuko.
Hua alonso14 na mcharo wanatukanana kule kwenye uzi wa Barcelona maana wote ne fans wa barca..
Utacheka ufe
Wale watu wana mitusi jamani chaaa!