Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

mm ww sileti id ninaleta Profile yako yote. Jina, namba ya sim, picha ya baba ako, unapoishi bisha tuone
Utakula ban wew...leta tu lkn tuon alafu hayo maujanja nifundishe na mm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio zake ngoja akuje na huku
haha sikujua nikajisemea moyoni uyu Dada mzima kweli.ila baada ya kupita kwenye huu Uzi basi nikawasoma watu nikaelewa hahaha
 
CCNP Engineer ni padri mcharo? Ndo alikuja kuomba mkopo wa 5m JF?

Haaa haaa....afuu kule kwenye Uzi uliofungwa sijamuona kabisa
Huyu injinia yupo active almost ktk kila nyuzi ya forex. Alinipa kuilewa forex ya TMT kiasi fulani. Uzoefu wangu ni ktk nyuzi kama zile soma post , reply na LIKES. Niligundua wanaoitetea forex kwa post na reply wanaiponda kwa LIKES and viceversa is also true.
 
Back
Top Bottom