Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Mda ukifika utatuambiaSi kweli nimezaliwa hvo mbona hazijanipeleka kubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda ukifika utatuambiaSi kweli nimezaliwa hvo mbona hazijanipeleka kubaya
Ahahahha sitaki kabisa mazoea na watu humu wala marafikiAlfu ile siku nilikuwa nimevurugwa mixer kuumwa ndyo maana nikamjibu hivyo
SawaI hope ushawahi kuona picha yangu..
Nupo cool, Quite saana mm ujanja wangu ni kwenye kuandika tu sio kuongea, Kwanza siwez kuongea mbele za watu..
Ila hapa unaweza dhania mm ni mcharuko..
Uwe unaniita hizo sehemuKuna siku nilikusoma sijui uzi gani nilicheka mtu alikuquote kwa I'd yako ile nyingine ukamwambia me sitaki marafiki kabisa humu ahahha
Dah! Hadi nimeona aibu kuhusu huyo jamaa nilivyomjibuAhahahha sitaki kabisa mazoea na watu humu wala marafiki
[emoji23] [emoji23] Secretary wa samaki upoUwe unaniita hizo sehemu
Nipoo ,,executive secretary[emoji23] [emoji23] Secretary wa samaki upo
Ila witnessj mcheshi sana, pole yake maskini sijui kala ban ya siku ngapiNa umepigwa ban kweli. Polee shoga angu
Umepigwa ban best yanguNYIE MISUKULE MNAJAZWA UJINGA NA HUYU SKUNK..RUBBISH, IDIOT KABISA[emoji23]
Yaani nitammiss sanaIla witnessj mcheshi sana, pole yake maskini sijui kala ban ya siku ngapi
Ahahhaha nilicheka kimyakimya asee aliambiwa me sitaki marafiki humu sitaki mazoea kabisaUwe unaniita hizo sehemu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah! Hadi nimeona aibu kuhusu huyo jamaa nilivyomjibu
Utoa hapa wehu wako hizo story kamutungie mmeo fakenDOH NILITONYWA JUZI NA AFANDE NIJE KUANGALIA HUKU NIMEKUJA
MWENYE THREAD MUNGU ANAKUONAAA
uje na huku
SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?...
Story: Money Penny ni nani lakini?!
Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaUtoa hapa wehu wako hizo story kamutungie mmeo faken