[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana nayo tuMafuriko ya link PM bado yanaendelea, nisaidieni TUSI Kubwa wakuu nikalirushe
Hahahahahahaha nakojoooooooaaaaaMafuriko ya link PM bado yanaendelea, nisaidieni TUSI Kubwa wakuu nikalirushe
Muweke ignore list kama hupendi ahahahahhahahahahaha nakojoooooaaaDina hali mbaya huku PM nisaidieniiii
Nakufa kwa kichekoo mim money ataniuaaa,,nikifa akamatwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana nayo tu
Ukimuweka ignore list anakuona kama kawaidaMuweke ignore list kama hupendi ahahahahhahahahahaha nakojoooooaaa
Ahahhaha huyu dada hapana jaman halaf akiweka malink yake anaondokaNakufa kwa kichekoo mim money ataniuaaa,,nikifa akamatwee
PM niliifuta akituma inarudi PM sijui tatizo nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana nayo tu
Nashindwa nimfanyeje huyu bintiHahahahahahaha nakojoooooooaaaaa
Nikimu ignore na post zake sitazipata tena? Maana sijawahi kuignore mtu yeyoteMuweke ignore list kama hupendi ahahahahhahahahahaha nakojoooooaaa
Angefaa atumiwe kwenye tangazo na JAZA UJAZWE na tigoAhahhaha huyu dada hapana jaman halaf akiweka malink yake anaondoka
Pm umefuta wewe kwake hajafuta kwahiyo anakutumia pm link ndio mana zinakuja tuPM niliifuta akituma inarudi PM sijui tatizo nini
Ebu jaribu kumuignore ikifanya kazi uniambie mana mambo ya jf utamuignore mtu au kumpa block anakuona kama kawaidaNikimu ignore na post zake sitazipata tena? Maana sijawahi kuignore mtu yeyote
Ngoja nijaribuEbu jaribu kumuignore ikifanya kazi uniambie mana mambo ya jf utamuignore mtu au kumpa block anakuona kama kawaida
Wala hasomi malalamiko yenu hahahahahahahaha hapo ndipo ananiuaaAhahhaha huyu dada hapana jaman halaf akiweka malink yake anaondoka
Yap ,,au mtumie pm mwambie usinitumie tenaa hahaahahNikimu ignore na post zake sitazipata tena? Maana sijawahi kuignore mtu yeyote
Ndio maana mi siweki mtu ignore lo sijaipendaaaEbu jaribu kumuignore ikifanya kazi uniambie mana mambo ya jf utamuignore mtu au kumpa block anakuona kama kawaida
Nimemblock ngoja nione kama itazaa matundaYap ,,au mtumie pm mwambie usinitumie tenaa hahaahah
HahahahahNimemblock ngoja nione kama itazaa matunda
Kama kawaida yakoππππππππππππDOH NILITONYWA JUZI NA AFANDE NIJE KUANGALIA HUKU NIMEKUJA
MWENYE THREAD MUNGU ANAKUONAAA
uje na huku
SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?...
Story: Money Penny ni nani lakini?!
Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....