Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Mood naomba watu waheshimu wenzao you cant be serious kumwita binadam mwenzako madness while hata unaemwita humjui we are different in knowledge level huu ni uhuni na uchawi na ni uvunjaji wa sheria za jf kum,undergrade member mwenzangu au kumdhalilisha pia ni ukaidi, fedhuli na kiburi ikiwa uzi wa kwanza ulifutwa na umerudishwa na member yuleyule inamaana hatii na amekiuka sheria

naomba hatua ifuate mkondo wake ikiwa kama ni moja ya kuhakikisha sheria zinafuatwa
 
Siamini we ndio umeandika hii
Umewapa ...ukawapa tenaaaa
 
Siamini we ndio umeandika hii
Umewapa ...ukawapa tenaaaa
this does not relate to my previous post

onother thing is this am not mindless as how phenotypically you think..
Take your caution

Jf is place where we use fake ID and Fake Profile be keen

Because we also apply fake characters my Dude
Remain with your own mind

Tusijuane tuchukuliane hivyo hivyo.....shit[emoji49] [emoji49]
 
Back
Top Bottom