Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Mood naomba watu waheshimu wenzao you cant be serious kumwita binadam mwenzako madness while hata unaemwita humjui we are different in knowledge level huu ni uhuni na uchawi na ni uvunjaji wa sheria za jf kum,undergrade member mwenzangu au kumdhalilisha pia ni ukaidi, fedhuli na kiburi ikiwa uzi wa kwanza ulifutwa na umerudishwa na member yuleyule inamaana hatii na amekiuka sheria

naomba hatua ifuate mkondo wake ikiwa kama ni moja ya kuhakikisha sheria zinafuatwa
Mkuu hii ni CHITCHAT tu .Ila kwakuwa Hujapenda naomba ufute comment yako hii namimi nakutoa kwenye list na usichangiee tena uzi huu.

Nadhani tumeelewana ?
 
Hahahahaahahahah watu wa humu mna mikwaraaa
 
Back
Top Bottom