Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23] [emoji23]Bias na ubinafsi. So wote mnaotaka kuwemo na hammo, na nyie undeni magroup yenu ili mfahamiane wenyewe.
Wewe naona tukupe china
Mbona huna msimamo sasa, kushabikia timu nyingi huo ni ushabiki au udangaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]Haha ushabiki haugawiwi mkuu.. FIFA WC 2018 nilianza na kubet kuwa Germany iyachukua kombe ikatoka sasahivi nashabikia tu France..
cc Smart911
Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE -Panama
4. Demiss - England
5. Davet - Germany
6. Humble African - Russia
7. mumu -Morocco
8. Mwifwa -Portugal
9. Hazard fc -Spain
10. Mama Sabrina -France
11. Shunie - Brazil
12. hearly -Nigeria
13. Mzigua90 - Peru
14. Kiranga -Japan
15. GuDume -Egypt
Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.
Sawa shem darling
Kumbe tusiojulikana tunatengwa?Tatizo haujulikan wajameni
Hebu njoo PM nikuambie kitu changuShabiki wa ndondo cup nimejibanza kwenye kona