Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

duuuuhhh hahahha...by the way " JF ina members wengi mnooo ambao ni famous " nivigumu mnooo "" kwa muhusika na mada kuweza kuwakumbuka na kuwataja wote " kwenye Uzi mmoja "...
Najua hilo. Ila unapomwambia mwenzio kuwa hafahamika au hajulikani wakati ni mwenzetu humu ni dharau. So hadi ujulikane ndio uwepo, ndio maana nikatoa ushauri kuwa hawana haja ya kusikitika. Wanaweza na wao wakaunda group lao na wakafahamiana vizuri then wakawa wanasifiana na kufanya mambo mengi mazuri pamoja bila ya kudharauliana. Kwangu mimi ingetosha kumwambia kuwa nilikusahau then nikampa team ili hasijihisi mnyonge. Hizi ndio busara za babu zenu.
 
hahah kwani wewe demiss nimgeni kwako "" imani yangu nikwamba " alitoa ile tense..kiutani tu hakuwa anamaanisha "" kihivyo ""..
 
Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:

1. Mshana Jr -Crotia

2. Hajar -Belgium

3. GENTAMYCINE -Panama

4. Demiss - England

5. Davet - Germany

6. Humble African - Russia

7. mumu -Morocco

8. Mwifwa -Portugal

9. Hazard fc -Spain

10. Mama Sabrina -France

11. Shunie - Brazil

12. hearly -Nigeria

13. Mzigua90 - Peru

14. Kiranga -Japan

15. GuDume -Egypt

16. (USER=289544 ) Kim John Un-Saudi Arabia
 
hahah kwani wewe demiss nimgeni kwako "" imani yangu nikwamba " alitoa ile tense..kiutani tu hakuwa anamaanisha "" kihivyo ""..
Mi najua ndio. Ila siunajua mkuu kuna mtu mwingine haelewi ataona kama amedhihakiwa vile.
Najua kama ni utani. Na nina penda vitu kama hivi coz kuna watu wao kila siku ni siasa tu hakuna kingine.
Na nina wapongeza wote wanaoleta uzi kama hizi kutuondoa huko.
 
oaky ...basi " enjoy ""...
 
Back
Top Bottom