Na Mimi piaNakazia hapo
Mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mwongozo bunge limeisha
Wazeee wa TechnologyDemiss huwa unanipatia sana yaani kama vile huwa unapigaga nyanga kabla ya kunizungumzia.
Mimi ni professional footballer kabisa nilishawai kuchezea Toto afrika ya mwanza nikiwa na kocha Billo au bilali kwa msimu mzima nikiwa kama Mido 8 matata sana...kipindi Nina ball balance, ball nature na ball control, kwa jeuri nilikuwa natema mate kulia nafukia kushoto..then nikaenda Olympic star ya Burundi baadae nikaachana na soka na kwenda masomoni.
Kwa kuniweka Russia kwa wazee wa shoka na mpera mpera..umenitendea haki!
Uwwwii wifi basiii Mimi mambo za vilingeni na kulimishwa usiku wa ma8 wala siwezi jomonii...ntakondaa..basi mmwaaaaahh cha mdeko malaika[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuu tena nakusema kwa shemej yako
njoo tukae na tuongee DemissLoooh jidanganye
Leo kuna mechi Demiss na Mshana mshindi sjui nan?Uwwwii wifi basiii Mimi mambo za vilingeni na kulimishwa usiku wa ma8 wala siwezi jomonii...ntakondaa..basi mmwaaaaahh cha mdeko malaika[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilingeni ee!?Leo kuna mechi Demiss na Mshana mshindi sjui nan?
Umeshamshinda mganga wetu... Maana fujo za England uwanjani si za mchezo...Hahahaha balaaa sjui nan mshindi