Ndio utubu sasa na kuiamini injili...Hahahahha babu shikamoo nilikumiss hivi naanzaje kumsahau babu wa jf
Mimi piaa nimekumisssNimekumiss hatar
Ahahahahahahahau nyie mashabiki sisi mastar [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hyo demiss Jf kuna watu 15 tu?
Wengine ungetufanya ata mashabiki sio lazima tucheze[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante kwa kunikumbuka.Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE -Panama
4. Demiss - England
5. Davet - Germany
6. Humble African - Russia
7. mumu -Morocco
8. Mwifwa -Portugal
9. Hazard fc -Spain
10. Mama Sabrina -France
11. Shunie - Brazil
12. hearly -Nigeria
13. Mzigua90 - Peru
14. Kiranga -Japan
15. GuDume -Egypt
Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.
Na mimi nimekumiss Demiss.Nilikumiss
Hivi ulifanya nini ukajulikana hukuTatizo haujulikan wajameni
Ooppsss..England anatinga kilingeni na umtiti then dude LA dunia tunalibeba,.hivyo yaniii....sasa sijui ww wapi?!England na Croatia
Japan ahahahahahAsante kwa kunikumbuka.
Nipo na Genta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upooo na ndugu yako genta
[emoji16][emoji16][emoji16]usijali mtashika ushindi wa pili wa dunia,si mbayaSoma hapo kwenye uzi nimeshabet tayar
Angalau wote tuwe urusi[emoji2]Ahahahahahahahau nyie mashabiki sisi mastar [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]