Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:

1. Mshana Jr -Crotia

2. Hajar -Belgium

3. GENTAMYCINE -Panama

4. Demiss - England

5. Davet - Germany

6. Humble African - Russia

7. mumu -Morocco

8. Mwifwa -Portugal

9. Hazard fc -Spain

10. Mama Sabrina -France

11. Shunie - Brazil

12. hearly -Nigeria

13. Mzigua90 - Peru

14. Kiranga -Japan

15. GuDume -Egypt


Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.
😎 😎 😎 chap kwa haraka tukutane mwembe kaniitie 😀 😀 😀
 
Hata mimi hamnifahamu ambaye nawatafuna ................. Zenu.
 
Back
Top Bottom