Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
😎 😎 😎 chap kwa haraka tukutane mwembe kaniitie 😀 😀 😀Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE -Panama
4. Demiss - England
5. Davet - Germany
6. Humble African - Russia
7. mumu -Morocco
8. Mwifwa -Portugal
9. Hazard fc -Spain
10. Mama Sabrina -France
11. Shunie - Brazil
12. hearly -Nigeria
13. Mzigua90 - Peru
14. Kiranga -Japan
15. GuDume -Egypt
Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.