Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Wooooozeeeerrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:

1. Mshana Jr -Crotia

2. Hajar -Belgium

3. GENTAMYCINE -Panama

4. Demiss - England

5. Davet - Germany

6. Humble African - Russia

7. mumu -Morocco

8. Mwifwa -Portugal

9. Hazard fc -Spain

10. Mama Sabrina -France

11. Shunie - Brazil

12. hearly -Nigeria

13. Mzigua90 - Peru

14. Kiranga -Japan

15. GuDume -Egypt


Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.
 
Sema kweli jamani
Demiss huwa unanipatia sana yaani kama vile huwa unapigaga nyanga kabla ya kunizungumzia.

Mimi ni professional footballer kabisa nilishawai kuchezea Toto afrika ya mwanza nikiwa na kocha Billo au bilali kwa msimu mzima nikiwa kama Mido 8 matata sana...kipindi Nina ball balance, ball nature na ball control, kwa jeuri nilikuwa natema mate kulia nafukia kushoto..then nikaenda Olympic star ya Burundi baadae nikaachana na soka na kwenda masomoni.

Kwa kuniweka Russia kwa wazee wa shoka na mpera mpera..umenitendea haki!
 
Najua wanawake wengi wa JF wanapenda kuishabikia Brazili kwa kuwa nywele zao zinatoka huko.

Ukibisha hili utakuwa umenikosea adabu sana.
 
Namuombea aniletee kombe nyumban
ameshakuleteaa maana Mama Sabrina analoo jumapilii,yeye si ndo france uliempendekezaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
ina maana wengine hujatuona kabisa yaani hujui kuwa mm ni MAMA MFUNDAJI humu mjengoni tena mama la kutoa masomo mjengoni hapa au kwsababu ujapitishwa tangia mwanzo uone makeke yangu hebu niweke kwenye list bhana kabla sijaezeka paa ujue
 
Back
Top Bottom