toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
basi Pascal aambiwe nako Kilimanjaro walikokamata shamba la Bhange pale njia panda yule mzungu aachiwe akang'oe shambani kwake.
Kitu ya Arusha na Moshi ni tiba tosha kuliko ya Chato
Nchi ni moja wapiga kura mwaka huu ni walewale
Tena inajiotea tuu yenyewe, mimi uani kwangu, imejiotea tuu yenyewe wala sijaipanda.Mazao mengine yanagharama kubwa kulima,ila bangi haina gharama kubwa lakini pesa nyingi hali ngumu.
Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na kuichoma moto mbele ya waandishi wa habari
Source ITV habari
My take; hawa waliolima bangi wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutenda kinyume na agizo la Rais
Sheria inasemaje bwashee?
Tena inajiotea tuu yenyewe, mimi uani kwangu, imejiotea tuu yenyewe wala sijaipanda.
P
Kuna sehemu inaitwa mgeta ipo morogoro ni moja ya sehemu bangi inalimwa sana.Bangi na mirungi vinatakiwa kuhalalishwa tuu, maana polisi imekuwa mtaji wao. Nadhani katika watu wanakwamisha visiruhusiwe ni polisi.
Polisi wanamtandao mkubwa sana kwenye bangi na mirungi.
Na ata hapo walivyokamata iloo shamba ni ramani imeuzwa watasema raia wema ila ni wakulima wa ilo zao wenyewe kwa wenyewe.
Asilimia 80% ya wasafirishaji na wauzaji wa madawa ya kulevya/drugs/mirungi/bangi/ wanakamatwa kutokana na wao kwa wao kuuzana. Kwa polisi polisi anakamata mzigo unatoa hongo mzigo.anauchukua unaenda kuuzwa kwa aliempa taarifa. JESHI LA POLISI LINATAKIWA KUJITAFAKARI