The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Project ya CCM hii. Da ila mzee wa ubwabwa kawaua huko kwa odembaWatarudi kugombea October
Hayo ni maigizo tu ili waendelee kula hela ya CCMGT.
Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake?
Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
Ni uongo tuu, hakuna aiyehama chadema hata mmoja! Ni uzushi wa CCM tuu.GT.
Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake?
Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
WAnasubiri upepo upite kwanza.....ccm hakuaminikiGT.