Hawa wanaojiita 'Jumuiya ya Maridhiano' kwanini kwenye hotuba yao yote,haijagusia matendo ya utekaji

Hawa wanaojiita 'Jumuiya ya Maridhiano' kwanini kwenye hotuba yao yote,haijagusia matendo ya utekaji

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hawa ndio wanafanya Hasira ya Wananchi juu ya Serikali, CCM na Rais iwe juu Kila siku.

Kila siku Mungu anazidi kuwachanganya ili Watanzania wajue Watekaji na Wauaji wao ni watu gani

Et Jumuiya Hotuba nzima inajadili Vijana wa Kenya !

Hii ni Aibu.


 
Hata uganda idd amin udini na ukabila ndio ulikuwa kinga yake
 
Kuna mambo yanakera sana,hii shida yote ni nyerere na katiba lake bovu
 
Back
Top Bottom