Hawa wanaopanda katika Daladala na Kutuomba Msaada wanatufanya Sisi Abiria hatuna Akili au?

Arusha yuko mmoja huwa anaomba hela ya chakula na anakufunulia shati uone operation yake kwa muda mref sana tang enzi hizo nikiwa kachalii had leo anabadilisha bus tu za njia ya Moshi na Babati Wataalam wa stand wanasema huwa ni muhuni tu ila mi sina uhakika

Kwangu binafsi mi naona yule jamaa ni kweli huwa anastahili kupewa msaada ila kwa muda alioomba kwa Sasa alitakiwa hata afanye biashara maana kasaidiwa na abiria wengi sana mwisho watu wameanza kumzoea hawampi msaada mkubwa kama ilivyo zamani
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake

Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali

maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja
 
Aise naunga mkono huyu popoma hapo amefeli.

Lakini si kawapa sifa kwamba mna afya nzuri kuliko yeye!!, afya ni mali kuliko kashfa ya ombaomba 🤣
 
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake

Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali

maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja

Mara nyingi watu wa aina hiyo ni watu wa anasa sana. Through experience.
 
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake

Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali

maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja
Jamaa ni wakitambo sana sahiv anasafiri kabisa na ma bus kama ulimuona ni huyo huyo
 
Arusha yuko mmoja huwa anaomba hela ya chakula na anakufunulia shati uone operation yake kwa muda mref sana tang enzi hizo nikiwa kachalii had leo anabadilisha bus tu za njia ya Moshi na Babati Wataalam wa stand wanasema huwa ni muhuni tu ila mi sina uhakika

Kwangu binafsi mi naona yule jamaa ni kweli huwa anastahili kupewa msaada ila kwa muda alioomba kwa Sasa alitakiwa hata afanye biashara maana kasaidiwa na abiria wengi sana mwisho watu wameanza kumzoea hawampi msaada mkubwa kama ilivyo zamani
yule alikuwa jambazi, lile jeraha ni baada ya kupona kuuawa, ole wako ujaribu kumwambia ukweli km hajakumaliza, na ana manguvu balaa. Nilichokiona pale stand ya Arusha makondakta na madereva ni sehemu ya ule uhuni, ujambazi. Yule ukikaa vibaya hachelewi kukuibia
 
Kimwonekano na kwa Afya yake Njema nahisi ni Mhaya au Mnyakyusa na ana POP la Shingoni
=================
POP la shingoni ndio kitu gani?
Nadhani ulimaanisha
Rigid CERVICAL COLLAR au NECK SUPPORT Ila kwasababu ung'eng'e ulikupitia kushoto ndio unasema Ni POP.
 
yule alikuwa jambazi, lile jeraha ni baada ya kupona kuuawa, ole wako ujaribu kumwambia ukweli km hajakumaliza, na ana manguvu balaa. Nilichokiona pale stand ya Arusha makondakta na madereva ni sehemu ya ule uhuni, ujambazi. Yule ukikaa vibaya hachelewi
Aise kumbe alishakua jambazi? ila anaonekana ujanja mwingi ukiwa stand ya Arusha utamkuta anapanda kila gari siku hizi naona wanasafiri nae kabisa huwa wanampeleka hadi babati, siku moja nlikua natoka dodoma Akapandia babati tukawa tunarudi nae Arusha sasa akaomba msaada watu wakakausha akaanza kuamsha abiria walio lala akikuta umelala anakuamsha nikasema Sasa kashaanza kuwa kero kwa abiria
 
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake

Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali

maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja
Tatizo lake amekua kero Sasa, zamani alikua hasafiri ila naona sahivi wanambeba hadi babati alaf anasubiri gari za dodoma anarudi nazo Arusha, shida ni kuwa huwa anaomba msaada akikukuta umelala anakutikisa hadi uamke yan kama vile analazimisha fulan hivi wakati awali hakua vile Sasa sijui ndo kashafanya kuwa ni biashara rasmi
 
Kupatwa kwa smart fella kwenye daladala
IMG-20230508-WA0083.jpg
 
Wanaotoa ndo wanasababisha waendelee kuomba.

Kuna Mzee mmoja Ferry analazimisha kupewa kwa kuongea kiarabu kiiingi
 
Back
Top Bottom