IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 176
- 441
Mwenyewe ndo kasema ana uhakika huyo tapeli kama sio Mhaya ni Mnyakyusa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uchonganishi, unataka mwenzako apigwe za uso halafu uje kumcheka !![emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe ndo kasema ana uhakika huyo tapeli kama sio Mhaya ni Mnyakyusa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aise naunga mkono huyu popoma hapo amefeli.Hapo kwenye wanyakyusa mkuu umetukosea, tafta kabila lingine
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wakeArusha yuko mmoja huwa anaomba hela ya chakula na anakufunulia shati uone operation yake kwa muda mref sana tang enzi hizo nikiwa kachalii had leo anabadilisha bus tu za njia ya Moshi na Babati Wataalam wa stand wanasema huwa ni muhuni tu ila mi sina uhakika
Kwangu binafsi mi naona yule jamaa ni kweli huwa anastahili kupewa msaada ila kwa muda alioomba kwa Sasa alitakiwa hata afanye biashara maana kasaidiwa na abiria wengi sana mwisho watu wameanza kumzoea hawampi msaada mkubwa kama ilivyo zamani
Aise naunga mkono huyu popoma hapo amefeli.
huyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake
Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali
maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja
Jamaa ni wakitambo sana sahiv anasafiri kabisa na ma bus kama ulimuona ni huyo huyohuyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake
Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali
maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja
yule alikuwa jambazi, lile jeraha ni baada ya kupona kuuawa, ole wako ujaribu kumwambia ukweli km hajakumaliza, na ana manguvu balaa. Nilichokiona pale stand ya Arusha makondakta na madereva ni sehemu ya ule uhuni, ujambazi. Yule ukikaa vibaya hachelewi kukuibiaArusha yuko mmoja huwa anaomba hela ya chakula na anakufunulia shati uone operation yake kwa muda mref sana tang enzi hizo nikiwa kachalii had leo anabadilisha bus tu za njia ya Moshi na Babati Wataalam wa stand wanasema huwa ni muhuni tu ila mi sina uhakika
Kwangu binafsi mi naona yule jamaa ni kweli huwa anastahili kupewa msaada ila kwa muda alioomba kwa Sasa alitakiwa hata afanye biashara maana kasaidiwa na abiria wengi sana mwisho watu wameanza kumzoea hawampi msaada mkubwa kama ilivyo zamani
Aise kumbe alishakua jambazi? ila anaonekana ujanja mwingi ukiwa stand ya Arusha utamkuta anapanda kila gari siku hizi naona wanasafiri nae kabisa huwa wanampeleka hadi babati, siku moja nlikua natoka dodoma Akapandia babati tukawa tunarudi nae Arusha sasa akaomba msaada watu wakakausha akaanza kuamsha abiria walio lala akikuta umelala anakuamsha nikasema Sasa kashaanza kuwa kero kwa abiriayule alikuwa jambazi, lile jeraha ni baada ya kupona kuuawa, ole wako ujaribu kumwambia ukweli km hajakumaliza, na ana manguvu balaa. Nilichokiona pale stand ya Arusha makondakta na madereva ni sehemu ya ule uhuni, ujambazi. Yule ukikaa vibaya hachelewi
Tatizo lake amekua kero Sasa, zamani alikua hasafiri ila naona sahivi wanambeba hadi babati alaf anasubiri gari za dodoma anarudi nazo Arusha, shida ni kuwa huwa anaomba msaada akikukuta umelala anakutikisa hadi uamke yan kama vile analazimisha fulan hivi wakati awali hakua vile Sasa sijui ndo kashafanya kuwa ni biashara rasmihuyu nilishatoka nae babati hadi arusha after wiki kadhaa nkawa narud ten kondoa nikiw kwenye bas akapand tena nkamkumbuka baada ya kuonesha ule upasuaji wake
Any way kwa siku anawez kupiga ata laki... unaeza kuta kashajenga mjengo mkali
maana kwa ile mara ya kwanza kwenye machame bus alitoka na zaid ya 30k iyo ni bas moja