pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Nimelipia malipo ya zuku kupitia airtel money 79,000/= na service charge wamechukua, malipo hayakufika palipokusudiwa, huduma ya zuku nimezimiwa, nimewasiliana na mhudumu wa airtel amenijibu short cut kuwa hela yapo iko hewani subiri masaa 36,sasa nakaaje muda wote huo bila huduma?
Na je hela yangu watailipia interest?
Na je nikilipa hela nyingine halafu na ile ya kwanza ikaenda huko huko pia si nitakua nimelipa niezi miwili bila kupenda?
Je hapa kama ni tapeli ni airtel au zuku?
Na je hela yangu watailipia interest?
Na je nikilipa hela nyingine halafu na ile ya kwanza ikaenda huko huko pia si nitakua nimelipa niezi miwili bila kupenda?
Je hapa kama ni tapeli ni airtel au zuku?