Hawa wanawake wana akili kama za Delilah aliyemshawishi Samson

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Nipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni mchepuko wangu(chura matata)...ambaye tuliachana naye mwezi uliopita akasafiri kwenda kuangalia familia yake.

Mara ananiambia huku akitaka kulia nakuomba kesho uje...hapa nilipo nina ukungu wa kutosha na wewe ndio ninayekutegemea.

Nikamwambia mumeo si yupo, akasema mume wake hawezi kazi na tangu amefika huko hajampa penzi anamuona kama mwanamke mwenzake. Ama kweli amenishawishi kama Delilah alivyomshawishi Samson.

Mabaharia wenzangu, hapa nilipo najiandaa na safari kesho kwa ajili ya kwenda kupasua mwamba mkoa wa jirani. Nisipoenda atanidharau....sehemu nitakayofikia sitamwambia, mpaka nifike huko baada ya muda nitamtumia mtu kwenda kumchukua ili kuepuka fumanizi.
 
Mzee hujashtuka tu kama hilo ni tego ??
Mkuu naweza kuhisi hivyo,ndio maana sitafikia sehemu cheap na yeye kufika pale itabidi mawasiliano yake yawe off,na ikiwezekana tunaweza kubadilisha eneo la tukio juu kwa juu bila kuwa na mawasiliano
 
Yan unavuka boda kwenda kufanya uchafu? Tutabadilika lini Shetani anakutafuta akumalize au kukuangamiza, angalia sana usije pata ajali maana Mungu anachukia huo uchafu unaokwenda kuufanya.,Nakuonya acha kwenda kufanya uovu usiposikia ni kazi kwako
ha ha ha halafu na hivi viungo sijui kwa nini alituwekea,au ni mapambo mkuu?
 
Nipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni mchepuko wangu(chura matata)...ambaye tuliachana naye mwezi uliopita akasafiri kwenda kuangalia familia yake.

Mara ananiambia huku akitaka kulia nakuomba kesho uje...hapa nilipo nina ukungu wa kutosha na wewe ndio ninayekutegemea.

Nikamwambia mumeo si yupo, akasema mume wake hawezi kazi na tangu amefika huko hajampa penzi anamuona kama mwanamke mwenzake. Ama kweli amenishawishi kama Delilah alivyomshawishi Samson.

Mabaharia wenzangu, hapa nilipo najiandaa na safari kesho kwa ajili ya kwenda kupasua mwamba mkoa wa jirani. Nisipoenda atanidharau....sehemu nitakayofikia sitamwambia, mpaka nifike huko baada ya muda nitamtumia mtu kwenda kumchukua ili kuepuka fumanizi.
Mmeambiwa muepuke safari zisizo za lazima ili kujilinda na corona,lakini hamtaki kusikia

Ujinga mtaacha lini?
 
Amekwambia uende huku anataka kulia, huenda alikuwa ameshkiwa silaha na mumewe.... usimuone fwala sana.
 
Mwanzoni nilifikiri hivyo,mbaya zaidi hadi sehemu ya kufikia alifanya booking...kutokana na mafunzo ya kibaharia nilifika na niliondoka salama
 
Tangu afike huko hajampa jamaa!!!
Usishangae jamaa ndiye hataki kula ili kujilinda, wakati huo anajiandaa kunasa windo lake maana kwa jeuri ya huyo Delilla wako anajua utajipeleka tu.

Usimchukulie fala mwanaume mwezako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom