Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mkuu naweza kuhisi hivyo,ndio maana sitafikia sehemu cheap na yeye kufika pale itabidi mawasiliano yake yawe off,na ikiwezekana tunaweza kubadilisha eneo la tukio juu kwa juu bila kuwa na mawasilianoMzee hujashtuka tu kama hilo ni tego ??
ha ha ha halafu na hivi viungo sijui kwa nini alituwekea,au ni mapambo mkuu?Yan unavuka boda kwenda kufanya uchafu? Tutabadilika lini Shetani anakutafuta akumalize au kukuangamiza, angalia sana usije pata ajali maana Mungu anachukia huo uchafu unaokwenda kuufanya.,Nakuonya acha kwenda kufanya uovu usiposikia ni kazi kwako
Vipo lakini vinafanya kazi kwa utaratibu maalumu sio randomly(ovyo ovyo)ha ha ha halafu na hivi viungo sijui kwa nini alituwekea,au ni mapambo mkuu?
ha ha ha ha,mkuu tumia hilo ni jembe halitamaliza makali kwa kulimia ekari nyingi za shamba.Vipo lakini vinafanya kazi kwa utaratibu maalumu sio randomly(ovyo ovyo)
Litumie jembe vizuri mkuu usije ukaenda kugeuzwa kuwa Equation y:ha ha ha ha,mkuu tumia hilo ni jembe halitamaliza makali kwa kulimia ekari nyingi za shamba.
Mmeambiwa muepuke safari zisizo za lazima ili kujilinda na corona,lakini hamtaki kusikiaNipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni mchepuko wangu(chura matata)...ambaye tuliachana naye mwezi uliopita akasafiri kwenda kuangalia familia yake.
Mara ananiambia huku akitaka kulia nakuomba kesho uje...hapa nilipo nina ukungu wa kutosha na wewe ndio ninayekutegemea.
Nikamwambia mumeo si yupo, akasema mume wake hawezi kazi na tangu amefika huko hajampa penzi anamuona kama mwanamke mwenzake. Ama kweli amenishawishi kama Delilah alivyomshawishi Samson.
Mabaharia wenzangu, hapa nilipo najiandaa na safari kesho kwa ajili ya kwenda kupasua mwamba mkoa wa jirani. Nisipoenda atanidharau....sehemu nitakayofikia sitamwambia, mpaka nifike huko baada ya muda nitamtumia mtu kwenda kumchukua ili kuepuka fumanizi.
Safari imekuwa salama na yenye tijaLitumie jembe vizuri mkuu usije ukaenda kugeuzwa kuwa Equation y:
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ya lazima mkuuMmeambiwa muepuke safari zisizo za lazima ili kujilinda na corona,lakini hamtaki kusikia
Ujinga mtaacha lini?
Mkuu,ndoa zinachangamoto sanaAcha Safari mkuu mke wa mtu wa kila mtu.
Mwanzoni nilifikiri hivyo,mbaya zaidi hadi sehemu ya kufikia alifanya booking...kutokana na mafunzo ya kibaharia nilifika na niliondoka salamaAmekwambia uende huku anataka kulia, huenda alikuwa ameshkiwa silaha na mumewe.... usimuone fwala sana.
Yani sikupi like, Maana maneo yako yanazidi kuleta taharuki.Litumie jembe vizuri mkuu usije ukaenda kugeuzwa kuwa Equation y:
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakutwa na karantini ukiwa na mke wa mtu. Sijui utajitetea vipi ?Ilikuwa ya lazima mkuu
ha ha ha ha,mkuu umefikiria mbali sanaUtakutwa na karantini ukiwa na mke wa mtu. Sijui utajitetea vipi ?
Hahahahah kuwa makini mkuuha ha ha ha,mkuu umefikiria mbali sana