Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nimepatiaaaaa!
Ngoja nikwambie Eiyer, kwa sisi waafrika anayelala na baba yako ni mama yako na anayelala na mama yako ni baba yako,period! Utake usitake hizo ndizo taratibu zetu za kiafrika. Jambo hili wala halina mjadala wambie hao marafiki zako wanawakosea adabu wazazi wao ,wambie waache kabisa upuuzi huo.
Kaka na dada wa ukubwani sio ki biological. Nadhani atangaze ndoa.
Nimekusikia mkuu!!!!Ngoja nikwambie Eiyer, kwa sisi waafrika anayelala na baba yako ni mama yako na anayelala na mama yako ni baba yako,period! Utake usitake hizo ndizo taratibu zetu za kiafrika. Jambo hili wala halina mjadala wambie hao marafiki zako wanawakosea adabu wazazi wao ,wambie waache kabisa upuuzi huo.
Hii ni another movie ya LAMORIR.....