masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Huyo ndo rais wenu baada ya mama.Mwigulu sijui anajivunia nini huyu jamaa.
Ni kati ya viongozi wenye kiburi na dharau ya kiwango cha SGR
View attachment 3027251
Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima.
Kodi hazieleweki.
Madeni ya nchi yanazidi kupanda.
Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao.
Nyie wanyaturu vipi lakini?
Wote sawa tu.wanyeramba hao shekhe
Hata mimi njaa imeanza kunichapa, ngoja nikatafute maandazi kwanza ninywe chai..Acha nikasake vitumbua kwanza
Kujuana kwa makabila ni kitu kibaya sana. Tafadhali epuka hiyo tabia🙂Wote sawa tu.
ma VX hadi kwa watoto wao.
Hao wote ni WanyirambaView attachment 3027251
Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima.
Kodi hazieleweki.
Madeni ya nchi yanazidi kupanda.
Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao.
Nyie wanyaturu vipi lakini?
Anaringia uchawiMwigulu sijui anajivunia nini huyu jamaa.
Ni kati ya viongozi wenye kiburi na dharau ya kiwango cha SGR
ukikutana na hili litoto unalipiga mshale wa jicho
mkuu mtoto ana kosa gani? makosa ni ya baba yake.ukikutana na hili litoto unalipiga mshale wa jicho
Kwa kweli, siyo bure.Anaringia uchawi