Hawa wapo juu zaidi ya diamond

Hawa wapo juu zaidi ya diamond

Angalia vitu vinavyomfanya domo awe juu....uliowataja hapo kwa sehemu kubwa hawajui kumiliki jukwaa. Then usisahau domo yeye ni bandika bandua so kila wakati lazima awe na wimbo unaohit tofauti na hao wengine wanatoa nyimbo mbili kwa mwaka

tembea uone uko mbele kuna wanaimba huku wamekaa kwenye kiti na show imejaza mashabiki na anazidi kupanda chati mialiko yote makini lazima aalikwe.
 
Nashukuru wacha ntafute nauli
 
BAhat wanazo wakina jide, wanamiliki mijengo ya maana na maisha yanaendelea kodi mwisho wa mwezi haimuhusu

UMEKOSEA BI shosti hata huyo unayesema ana BAHATI hana ivi kuna zawadi au bahati kwa BINADAMU yoyote kuwa na m........?au bahati unayoiongelea hapan ni ipi BAHATI ILI MTU HATA UKIFA UNAACHA JINA....YAANI UNA ALAMA...SASA inaweza ikawa majaliwa au vp...sasa unapotaka kusema eti yeye ndo mwenye bahati kwa kuwa na nyumba HALIPI KODI ina maana gani kama jumba zima yupo peke yake...angalia vya kuandika hapa! KILA MTU ANA BAHATI USIBAGUE NDOMANA nimesema yote haya!!!
 
We mbwa shosti baba yako aliyekuzaa, sasa kuna haja gani ya kuhangaika uko ulaya wakati nyumbani ana maisha mabovu sana, wenzao wana maisha mazuri wamejenga kwao na wana ma asset ya maana ivi huyo bwana ako ana asset gani apa mjini kwa mfano? Au unaongelea uko nyuma? Ebu andika vitu vya kueleweka, sasa kuna faida gani kufanya collabo na wasanii wakubwa wakati maisha yake mabovu?, hao wenzao akina davido wana pesa chafu atasubir sana kuwafikia, ataishia tu kujisifu kupiga nao picha , ebu tutolee ujinga wako apa
 
UMEKOSEA BI shosti hata huyo unayesema ana BAHATI hana ivi kuna zawadi au bahati kwa BINADAMU yoyote kuwa na m........?au bahati unayoiongelea hapan ni ipi BAHATI ILI MTU HATA UKIFA UNAACHA JINA....YAANI UNA ALAMA...SASA inaweza ikawa majaliwa au vp...sasa unapotaka kusema eti yeye ndo mwenye bahati kwa kuwa na nyumba HALIPI KODI ina maana gani kama jumba zima yupo peke yake...angalia vya kuandika hapa! KILA MTU ANA BAHATI USIBAGUE NDOMANA nimesema yote haya!!!

Siku nyingine uje kwa break ng'onda wewe, bichwa kama bakuli la futar
 
Back
Top Bottom