kweli jamaa anajua sana
Angalia vitu vinavyomfanya domo awe juu....uliowataja hapo kwa sehemu kubwa hawajui kumiliki jukwaa. Then usisahau domo yeye ni bandika bandua so kila wakati lazima awe na wimbo unaohit tofauti na hao wengine wanatoa nyimbo mbili kwa mwaka
tembea uone uko mbele kuna wanaimba huku wamekaa kwenye kiti na show imejaza mashabiki na anazidi kupanda chati mialiko yote makini lazima aalikwe.
BAhat wanazo wakina jide, wanamiliki mijengo ya maana na maisha yanaendelea kodi mwisho wa mwezi haimuhusu
UMEKOSEA BI shosti hata huyo unayesema ana BAHATI hana ivi kuna zawadi au bahati kwa BINADAMU yoyote kuwa na m........?au bahati unayoiongelea hapan ni ipi BAHATI ILI MTU HATA UKIFA UNAACHA JINA....YAANI UNA ALAMA...SASA inaweza ikawa majaliwa au vp...sasa unapotaka kusema eti yeye ndo mwenye bahati kwa kuwa na nyumba HALIPI KODI ina maana gani kama jumba zima yupo peke yake...angalia vya kuandika hapa! KILA MTU ANA BAHATI USIBAGUE NDOMANA nimesema yote haya!!!