Hawa warembo, wana nia nzuri kweli na mimi?

Hawa warembo, wana nia nzuri kweli na mimi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu.

Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea kuwatamani.

Nikaigiza kama vile napiga simu kwa boda boda, halafu nikaizima simu haraka haraka ili nisingizie chaji imeisha.

Nikawafuata wale warembo, nikamuomba mmoja wao simu aniazime ili nimpigie boda boda, kwa sababu simu yangu imeisha chaji.

Akanipatia simu; ile najifanya kuandika namba nikaona alikuwa anachati kwenye JF; kimoyo moyo nikasema, kumbe huyu mwenye hii ID ni kisu hivi!

Baada ya pale nikapiga simu kiaina, baada ya kumaliza nikamrudishia, nikamuomba namba yake angalau tuwe tunawasiliana pale itakapobidi.

Baada ya kuachana naye; ile usiku nimeota ndoto za mauza uza kweli, akiwa yeye na rafiki yake.

Niliota, wamenivua nguo zote na wanataka wanipike na kunitafuna nikiwa hai. Ile walivyoanza kujilamba lamba ili waanze kunitafuna, nikawa najiandaa kupiga kelele ili majirani waje waniokoe.

Ile nataka kupiga kelele tu, nikajikuta nimeshtuka kutoka usingizini.

Wakuu, hawa warembo wana nia nzuri kweli na mimi?

kew.jpg
 
usitake kuchafua image ya warembo wa JF

I have been here since 2011 na nimekutana na wadada wengi wa JF, there is no such a thing..

kipindi hicho watsap inaruhusu watu 56 tu nakumbuka tulikuwepo na group la JF whatsapp na tulionana live

usiwachafue warembo wa JF tafadhali
 
😀😀😀
 
Hakikisha ukiwa nao usisikie harufu ya kachumbari, maana nasikia siku hizi wanatembea na kachumbari take away. Wakikunyonya mlingoti wana mega na meno wana unganisha na chumbari la pilipili na limao ya kutosha, any way, akili m kichwa, Mkuu.
 
Hii ndio naisikie kwa mara ya kwanza, kuwa huwa wanang'ata?
 
Back
Top Bottom