Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Wanakimbizana na wanaotoa matoleo mapya ya simu Mkuu.. 🤣🤣🤣Hii ndio naisikie kwa mara ya kwanza, kuwa huwa wanang'ata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakimbizana na wanaotoa matoleo mapya ya simu Mkuu.. 🤣🤣🤣Hii ndio naisikie kwa mara ya kwanza, kuwa huwa wanang'ata?
jamaa alijaa kvant ubongoni mwake hamna lolote😂😂😂😂
Kwamba warembo wa Jf ni wanga sanaa
Hii kombinesheni ni hatari mnooChai hii ukipata na kiporo cha ubwabwa na haragwe inakuwa bul bul
Kamandaaa, nakuona unakula ugali huku ukichovya kwenye ujiEquation x ndio baltazar wa Tanzania unatisha i hope watu one day wavujishe picha na video zako
Na ujumbe wako twende kulee nikuambie kituKamandaaa, nakuona unakula ugali huku ukichovya kwenye uji
Tuma salio kwanza kwa jf pesaNa ujumbe wako twende kulee nikuambie kitu
Shauri yako utatolewa sadaka hayaTuma salio kwanza kwa jf pesa
Na hii miaka 87, nazeeka vibaya kweli 😀we mzee unashida gani kila siku wewe tu 😀
Wote baba mmoja tu.....Achana nao cute, Mimi nitakufa na siri zangu moyoni..!!
Sawa tuwaangaliaje?Muwe mnaangalia na wa kuwapa
Qumanina zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu.
Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea kuwatamani.
Nikaigiza kama vile napiga simu kwa boda boda, halafu nikaizima simu haraka haraka ili nisingizie chaji imeisha.
Nikawafuata wale warembo, nikamuomba mmoja wao simu aniazime ili nimpigie boda boda, kwa sababu simu yangu imeisha chaji.
Akanipatia simu; ile najifanya kuandika namba nikaona alikuwa anachati kwenye JF; kimoyo moyo nikasema, kumbe huyu mwenye hii ID ni kisu hivi!
Baada ya pale nikapiga simu kiaina, baada ya kumaliza nikamrudishia, nikamuomba namba yake angalau tuwe tunawasiliana pale itakapobidi.
Baada ya kuachana naye; ile usiku nimeota ndoto za mauza uza kweli, akiwa yeye na rafiki yake.
Niliota, wamenivua nguo zote na wanataka wanipike na kunitafuna nikiwa hai. Ile walivyoanza kujilamba lamba ili waanze kunitafuna, nikawa najiandaa kupiga kelele ili majirani waje waniokoe.
Ile nataka kupiga kelele tu, nikajikuta nimeshtuka kutoka usingizini.
Wakuu, hawa warembo wana nia nzuri kweli na mimi?
View attachment 3148884
Ndoto na uhalisia unavihusianishaje kuna 'fact' gani inayukuongoza kwamba doto hiyo ilikuwa na tafsiri za kweli?Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu.