Hawa wasanii wana enjoy kweli kuwepo kwenye kampeni?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..

Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..

Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..

Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
 
Hao ni mateka, kinachopendwa ni walicho nacho na hawana uanuzi wa kukataa wanajua kitachofuata.
Wengine njaa inawasumbua yukiwaweka pembeni wenye pesa zao
 
Kuna ambao hiyo kampeni ndio kula yao Steve Nyerere, Batuli, Bonge la Nyau wanaachaje kuenjoy... labda wakina Mond na wenzie wachache ndio wanalinda ugali wao ila wengine wanautafuta
 
Hapo wapo kazini, kila mfanyabiashara hufurahi pale anapopata tenda za kutosha nyingi.
ndo wakati wao wa kupata pesa huu.
ila kwenye kupiga kura ndo siri yao
 
hapo wapo kazini, kila mfanyabiashara hufurahi pale anapopata tenda za kutosha nyingi.
ndo wakati wao wa kupata pesa huu.
ila kwenye kupiga kura ndo siri yao
 
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..

Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..

Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..

Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Lakini si wanajituliza kwenye magari yao wakiwasha AC mimi bado sioni tatizo, labda tatizo ni kutumika na ccm
 
Hawana namna, kila mtu anaitaka kofia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Hawajawekewa hata jukwaa lenye kivuli cha kizushi?
 
Back
Top Bottom