M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
political captivesSaa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?