Hao ni mateka, kinachopendwa ni walicho nacho na hawana uanuzi wa kukataa wanajua kitachofuata.Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Lakini si wanajituliza kwenye magari yao wakiwasha AC mimi bado sioni tatizo, labda tatizo ni kutumika na ccmSaa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Mimi na wewe hatujuiWanalipwa kama wanavyo taka au hawana jinsi?
Hahahah nimecheka sana kwa hii comment yako, sahivi wanapewa kwa foleni.Watakua wana enjoy kupewa kofia