political captivesSaa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Hata kama hawalipwi vizuri, hawawezi kuataa.
Diamond alisema kila Show Bongo analipwa milioni 100
Sasa hadi sasa kafanya show za CCM zaidi ya 7
Ndio tuseme kalipwa milioni 700
Bado Alikiba na wengine
Hapo aidha CCM wanatumia mabilioni ya kodi zetu au wanadhulumu wasanii
Hata akipanga buku hero?Wanalipwa chochote Polepole anachopanga
Magufuli amlipe Diamond million 100?
Sidhani
Kila msanii anataka awe karibu na chama tawala, mpaka watu wanafanya mambo ya ajabu eti vijana wanajiita Magufuli Gang, yani nilicheka sana.Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Hao ni mateka, kinachopendwa ni walicho nacho na hawana uanuzi wa kukataa wanajua kitachofuata.
Wengine njaa inawasumbua yukiwaweka pembeni wenye pesa zao
Mara hiyo, wanathamini utu wao kuliko Jambo lolote. Ndio maana ukidhamiria kumuumiza MTU WA kipande hiyo Kwa makusudi hakuachi .Lady Jaydee ni Simba jike kweli kweli.Alikataa huu utumwa-mamboleo.Big up dada angu mpendwa
Kumbe dada angu mpendwa ni simba jike la Mara?Mara hiyo, wanathamini utu wao kuliko Jambo lolote. Ndio maana ukidhamiria kumuumiza MTU WA kipande hiyo Kwa makusudi hakuachi .
Lady Jaydee ni Simba jike kweli kweli.Alikataa huu utumwa-mamboleo.Big up sana dada angu mpendwa
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Kivulini mkuuMchumia juani ulia,,,,,,,,!
Kama wanalipwa Basi watakuwa wana-enjoy hata kwa kujidanganya.
CCM chanzo Cha matatizoSaa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa
Wangeshiriki??..
Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa Saba mchana
Halafu useme una enjoy??
MC mwenyewe Polepole? Ndo anakuita jukwaan?..
Hii ni burudani au 'hakuna namna ya kukataa?
Ugawaji wa kofia kwa kila msanii imeshusha hadhi ya kofia aliyopewa diamond akaenda kuweka kwenye kabati ya tuzoHahahah nimecheka sana kwa hii comment yako, sahivi wanapewa kwa foleni.