Hawa wasomi wa UDOM vipi?

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
480
Binafsi ninaishukuru serikali kuanzisha chuo kikuu cha Dodoma.
Baada ya pongezi hizo; hoja yangu ni hii, serikali ilianzisha kozi ya DISASTER MANAGEMENT CHUONI UDOM NA VIJANA WANAHITIMU KILA MWAKA ACHILIA MBALI MAJANGA YANATOKEA KILA SIKU TANZANIA. Je serikali inawasomesha hawa watu ili iweje kama haiwezi kuwaajiri kwa nini iwasomeshe ilhali inaendelea kulalamika kila siku hakuna wataalamu wa majanga?
NAWASILISHA.
 
[QUOTE=Tatizo Tz ina mipango ambayo sio endelevu. Hata ukiuliza wanachuo wako wapi hakuna takwimu. Mambo mengine yanafanyika holeleholela .Tanzania inao wahandisi lakini hakuna juhudi na rekodi wapi pakuwapata.ERB na CRB hamna kitu licha ya kudai ada na posho.Taasisi hizi zilikuwa ndizo ziwatafutie ajira wanachama wake.Kazi nyingi za ujenzi zinafanywa na vishoka ndo maana majanga yanatukuta.Aidha ERB na CRB wamepenyeza makampuni yao katika miradi na ndo maana ufanisi ovyo. Mfano angalia mabarabara yote mikoani na wilayani aibu
 
ukisoma chuo kikuu then usubiri serikali ikupe ajira. utasubiri kwa miaka mingi sana. CHAKALIKA hata kwa kuuza vocha ili mradi mkono uende kinywani
 

Usisubiri serikali ikuajiri. La sivyo utasubiri sana. Wako sahihi sanankuanzisha hiyo shahada lakini hakuna mkataba wa kuajiriwa ma serikali baada ya kumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…