Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uniwekee msimamo wa ligi mkuuLeo kagera sugar wamepata ushindi wa 3 mfululizo kwa kutoboa tundu la mbao, mechi inayo fuata wanacheza na timu yetu pendwa bingwa wa nchi binafsi nimeanza kukosa matumaini.
Huo hapoNaomba uniwekee msimamo wa ligi mkuu
Kama mlivyomtafuna UD SongoKama unakosa matumaini kwa ajili ya kagera shuga basi wewe gongo wazi FC au una DNA za gongo wazi. Wana msimbazi wakati wote tuna roho ya ujasiri kama alivyo mfalme wa mwitu (simba) kila kilichopo mbele yetu kwetu ni halali yetu. ni sawa na myama simba anaweza kudhamiria kumtafuna swala ikitokea kaponyoka hiyo ni bahati mbaya. vivyo hivyo hata kwa timu yetu vitimu vyote kwetu ni halali yetu mungu katupa kama mawindo yetu ya kila siku ila kuna bahati mbaya huwa vinatuponyoka ko hiyo ni kawaida huwezi ukafanikiwa kuua kila windo lililopo mbele yako.
Kagera apishe hiyo nafasi ni ya mnyama
Huu hapoNaomba uniwekee msimamo wa ligi mkuu
Kagera apishe hiyo nafasi ni ya mnyama