HAWA WATU BADO HAWAJIELEWI

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Leo wakati napitia gazeti la mwanaspoti online nimekutana na habari ya wasanii kutumika kuhamasisha Taifa Stars wameshakaa na kujichagua.
Mimi nilifikiri wameshajifunza kitu kumbe bado akili ileile watu wanaenda uwanjani badala ya kushangilia wanajipiga selfie, wakati tasnia yao ya bongo movie imedoda wanataka kuja kutuharibia starehe yetu ya mpira kwa kujifanya ni mashabiki namba moja kumbe ni wauza sura wasio na mchango wowote kwenye mpira
 
Steve kasema Stars itacheza mfumo wa 4,4,2 halafu kafafanua - wanne mbele, wanne kati na nyuma wawili.
Bongo movie juu zaidi.
 
Kwani wasanii sio watanzani? Acheni ubinafsi na kujifanya nyie ndio wazarendo.
 
Steve kasema Stars itacheza mfumo wa 4,4,2 halafu kafafanua - wanne mbele, wanne kati na nyuma wawili.
Bongo movie juu zaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…