rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Leo wakati napitia gazeti la mwanaspoti online nimekutana na habari ya wasanii kutumika kuhamasisha Taifa Stars wameshakaa na kujichagua.
Mimi nilifikiri wameshajifunza kitu kumbe bado akili ileile watu wanaenda uwanjani badala ya kushangilia wanajipiga selfie, wakati tasnia yao ya bongo movie imedoda wanataka kuja kutuharibia starehe yetu ya mpira kwa kujifanya ni mashabiki namba moja kumbe ni wauza sura wasio na mchango wowote kwenye mpira