hawa watu hawashauriki

hawa watu hawashauriki

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
  1. mwanamke aliempenda mwanaume
  2. mwanaume mwenye hela
  3. mfuasi wa Gwajima
  4. mwanachama wa chadema

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
  1. mwanamke aliempenda mwanaume
  2. mwanaume mwenye hela
  3. mfuasi wa Gwajima
  4. mwanachama wa chadema

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
#1...akishatendwa au kuachwa ana shaurika vizuri tuu,tena anatafuta ushauri mwenyew[emoji5]
#2...akipelekewa risiti ya kodi iliomzidi uwezo ataomba tu ishauri[emoji6]
 
#1...akishatendwa au kuachwa ana shaurika vizuri tuu,tena anatafuta ushauri mwenyew[emoji5]
#2...akipelekewa risiti ya kodi iliomzidi uwezo ataomba tu ishauri[emoji6]
hapo #2 tena iwe kodi ya anko magu
 
  1. mwanamke aliempenda mwanaume
  2. mwanaume mwenye hela
  3. mfuasi wa Gwajima
  4. mwanachama wa chadema

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Kuna mmoja haujamuweka aiseeeee......
Yule namba 1 wa Tz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna mmoja haujamuweka aiseeeee......
Yule namba 1 wa Tz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Namba moja Wa tz utamshauri nini endapo wewe hata hujui upo namba ngapi!
 
Hahahahaaa mwanachama Wa chadema we hapo serious
 
Kuna mwingine kaka. Waumin wote wanauswalmakanisa ya kilokole hawashauriki na including kakobe church
 
Back
Top Bottom