Hawa watu kwenye picha walioenda leo kujitambulisha kwa papa Leo 14 ni watu wa dini gani?

Hawa watu kwenye picha walioenda leo kujitambulisha kwa papa Leo 14 ni watu wa dini gani?

Picha ya mwisho ni wa Ethiopian orthodox church wenyewe wa jiita 'Tewahdo'. Ma group mengine watu wame wataja.
 
Dini zote lengo Lao ni moja nawote wapo kwenye mfumo mmoja ila nyie mangumbaru ndio mnafuata kama ma zuzu tu.
Believe in Jesus,

Hakuleta dini duniani Bali imani.

Mrumi ndio kaleta dini.
 
Hoa ndio Wakulungwa wenyewe, ila nasikitika sijamuona Sheikh Mkuu?
 
Mtaalam wangu Alhad Mussa angepewa mualiko angetimba na mapete yake
 
Believe in Jesus,

Hakuleta dini duniani Bali imani.

Mrumi ndio kaleta dini.
Sihitaji kuamini chochote bwashee nahitaji kujua na kuelewa jambo kama lilivyo kwa uthibitisho usio na shaka.
 
Back
Top Bottom