Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

Corona ipo ya kutosha hususani hapo Dsm wagonjwa wanafia majumbani Hosptal ndogo ndogo na hata wakifa ndugu hawasemi ni corona huficha siri kwa hofu ya kutengwa na jamii
Hivi huo ugonjwa ungekuwa upo wa kutosha kwa maana umeenea sana hivi kweli kungekuwa na kuogopa kutengwa na jamii?
Maana kama huo ugonjwa upo na watu wana uguwa sana sasa iweje tena iwe siri na kuogopa kutengwa wakati jamii yenyewe inasumbuka na huo ugonjwa,sasa huyo mwenye kumtenga mwenzei ni nani?
 
Si ajabu utaona huu msiba tuliyonao kifo chake kuhusishwa na corona.
 
Tuendelee kuchukua tahadhari.
 
Nakubaliana na hoja nafikiri serikali nyingi wanaogopa kubadilisha direction lakini kwa makadirio ya awali sasa watu mamilioni wangekuwa wamefariki kwa COVID-19 duniani badala yake vifo havijafikia milioni. Na hakuna nchi yenye uwezo wa kusema ili contain kabisa.
 

Kumbe ameombwa na Zitto na Sharif agombee Urais siyo mahaba yake. Chama mufilisi
 
Safi!

Unakihusisha kifo cha Mkapa na COVID-19?
Mkuu huu uzi ulikuwa na swali la kufikirisha sana. Ilikuwa ngumu kusema lolote kwangu.
Niliona Wapinzani na CCM wakiwa na harakati kama zile za mkutano mkuu wa Chama Dodoma.

Nilijiuliza sanahivi hawa south Africa wametofautiana nini na sisi?
Hakuna cha Barakoa (mask) au social distancing . Wazee na Vijana kuserebuka tu kwenda mbele

Nilikuwa naufuatilia sana huu uzi ingawa watu walifanya mzaha, mimi niliufuatilia sana
 
Well, tataona namna ambavyo mazishi yake yatakuwa.

Hapa Rais mstaafu Kikwete akimzungumzia marehemu Rais mstaafu Mkapa.

Sioni barakao wala social distancing.


Tundu Lissu naye anarudi wiki ijayo. Tutaona atavyopokelewa...
 
Walisema waungwana ndani kuona ku*dule itakuwa ni habari kubwa.

Heri wewe umeliona lako mkuu.
Sijui hata unaongea nini Mr.corona,naona unatamani itangazwe kuwa Mkapa kafa kwa corona.
 
Unajua kuna vitu vinafurahisha maana kwa jinsi corona tulivyokuwa tunaisikia kwa nchi za wenzetu huko ni ajabu kwamba hapa tunabishana kuwa et corona bado ipo nchini au haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…