Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya

Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa:
1. Bashiru
2. Kabudi
3. Chalamila
4. Gambo
5. Majaliwa
6. Ndugai
 
Ainisha, maana MabadiRiko yapo ya aina mbili - Nina imani ulimaanisha positive change.
 
Bora hata ya Polepole alikuwa na mantiki katika nafasi yake hata kama alikuwa na mapungufu yake.

Huo uozo mwingine zaidi ya misifa ya kipumbavu walikuwa na nini cha maana??
 
Kikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya

Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa:
1. Bashiru
2. Kabudi
3. Chalamila
4. Gambo
5. Majaliwa
6. Ndugai
Ukisikia akili za kutawaliwa ndio aina hii ya mawazo. basi warudi wazungu maana maisha yalikuwa powa kuliko hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom