Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Unawachokoza CHADEMATuanze na GHAFURA
CHADEMA mpaka muda huu walishaanza kutapatapachadema watakimbia kama machangudoa walahi
Kisha tuelekee kwenye Historia itabadi"RI"ka.Tuanze na GHAFURA
Hata wewe umebadilika kutoka Ghafla na kuwa Ghafura!Kikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya
Mbona haujapendekeza 'ITABADILIKA?Tuanze na GHAFURA
Hapo chuma ni sabaya , huyu jamaa ndo anatakiwa a-comand hii nchiKikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya
Sio kisiasa, maana ccm Sasa hivi kuwashinda cdm kihalali kwenye siasa za ushawishi imeshashindikana. Mbeleko ya vyombo vya Dola tu ndio imebaki kimbilio la ccm.CHADEMA mpaka muda huu walishaanza kutapatapa
Aisee umemaliza😆😂🤣👊🤛Tuanze na GHAFURA
Kati ya mateso wanayotupa Moderators ni kutunyima haki ya ku edit heading.Tuanze na GHAFURA
Safari hii hakimbii mtu mmeshazoea. Jino kwa jinoCHADEMA mpaka muda huu walishaanza kutapatapa
Wote mikono yao ina Damu ya innocent CitizensKikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya
Odonga ndio naniOngeza na Odonga mtaalam
Ukisikia akili za kutawaliwa ndio aina hii ya mawazo. basi warudi wazungu maana maisha yalikuwa powa kuliko hapa tulipo.Kikosi kazi
1. Makonda
2. Polepole
3. Ally Hapi
4. Sabaya
Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa:
1. Bashiru
2. Kabudi
3. Chalamila
4. Gambo
5. Majaliwa
6. Ndugai