Hawa watu wananivutia sana

Eeee...,naona unavutiwa na majina mepesi kuyaandika na kuyatamka...ahahahaaa! Karibu jukwaani.
 
kaka mbona hukuitendea haki rule Number 3 mkuu?

Mkuu hapo tatizo liko kwa Kaizer....unajua rule 3 pia inataka watu ambao ni shapu wa kusoma nyakati...karibu mkuu (kumbuka rule 3 haikufuati unaifuata)..:fish2::fish2::fish2:
 
KakaKiiza, Mi naomba favor 1,
Hiyo avatar yako itanifanya nizikimbie post zako wakati naelimika sana kupitia kwako....................... Please!

KakaKiiza thanx kwa kuiondoa ile avatar, maana kwa kusema kweli nilikuwa naiogopa sana........... thanx again
 
Hivi mnapenda majina au watu wenyewe? maana sijaona Chamtu-mimi nikapendwa hapa ndani. Jina ndo linawafanya mniogope??? Anyway, heri mimi sijapendwa .
 

hapa umemsahau ACID yale mashairi sijui alijifunzia wapi huwa ananifurahisha kweli
 
hahahahahhaa kaziii kweli kweli.... sometimes i real miss this place.........
 
Hivi mnapenda majina au watu wenyewe? maana sijaona Chamtu-mimi nikapendwa hapa ndani. Jina ndo linawafanya mniogope??? Anyway, heri mimi sijapendwa .
dah, mkuu unapotea sana siku hizi... sio fresh mazee

ah, chamtu-maviiiiiiiii:A S 13:
 
dah, mkuu unapotea sana siku hizi... sio fresh mazee

ah, chamtu-maviiiiiiiii:A S 13:

Uchaguzi mazee, hali ni ngumu sana uchaguzi huu, mkakati ni kuwanunua wana Chadema na wana-CUF
 

Unaweza kukuta ni akina Mama Salma Kikwete, Shimbo, Membe, Line Manager wako, Lecturer wako, baba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…