Hawa watu wananivutia sana

Hawa watu wananivutia sana

Akanushe au athibitishe?
Wewe huwezi kufanya hayo?

Unajua Roya Roy hata kama kuna kesi mahakamani, si huwa pande mbili zinasikiliwa pindi zinapotoa ushuhuda/utetezi!!!!!!mpeni nafasi bht jamani
 
Kwani amenyimwa nafasi??
Hebu jitetee na wewe basi...ukimaliza umwambie aje kumalizia....
 
jamani samahani kidogo wajameni!.....

hivi kuna sehemu yoyote naweza kupata :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking: iliyoenda shule kidogo????

huku block 41 naona wameingia kikosi naona sasa dah UBABE MWINGI!....

nawasilisha
 
bht si umeona wanavyosema hawa wadau, eti wanataka kujua kama mimi na wewe tuna du ze nidful!hawajui kuwa upo married na unainjoy life na mume wako mpendwa!hebu wakanye basi waache haya maneno!
 
we roy jinsia yakeya nin?mmh ya nin?YA KIUME.

Nilikua naweka sawa kumbukumbu tu...hata hivyo Smiles alishajibu swali langu...na jibu lake kama lako tu....all i gotta do is read between lines :tonguez:
 
bht si umeona wanavyosema hawa wadau, eti wanataka kujua kama mimi na wewe tuna du ze nidful!hawajui kuwa upo married na unainjoy life na mume wako mpendwa!hebu wakanye basi waache haya maneno!

unazidi kutokota/unajichanganya.
 
jamani samahani kidogo wajameni!.....

hivi kuna sehemu yoyote naweza kupata :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking: iliyoenda shule kidogo????

huku block 41 naona wameingia kikosi naona sasa dah UBABE MWINGI!....

nawasilisha

Njoo usalule nina kitu
A%20S-smoking.gif
cha malawi ni soo!!
 
usiwe na shaka Teamo, kipo cha tunduma!we nipe order yako tu!
 
bht si umeona wanavyosema hawa wadau, eti wanataka kujua kama mimi na wewe tuna du ze nidful!hawajui kuwa upo married na unainjoy life na mume wako mpendwa!hebu wakanye basi waache haya maneno!

Hehehe...hata juzi tuli-do the needful pale mugabe? Umesahaua mara hii?:A S kiss:
 
Njoo usalule nina kitu
A%20S-smoking.gif
cha malawi ni soo!!

heehehhe!mpwa nasikia cha hapo ''pasipo na wajenzi'' hapo ni soo
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
unazidi kutokota/unajichanganya.

nazidi kutokota/najichanganya kwa lipi Nyamayao???tatizo hupendi kuambiwa ukweli dada angu!Basi mimi ntaanza sasa kuwa nakudanganya!
 
bacha naku:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:...japo nina ndoa....na ulivyo dume la mbegu basi mi hoi....:A S wink::A S wink:..
 
heehehhe!mpwa nasikia cha hapo ''pasipo na wajenzi'' hapo ni soo
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Teamo (Today)​
Hommie we acha tu.....lazima uwe umshiba Albater
 
Nyamayao, Roya Roy, Asprin, hebu rudini kwenye topic inahusu nini...maana naona siwaelewi

Mbona wataka kumlazimisha Mwenyekiti asome maandihi kinyume nyume?

katibu niletee faili la bacha tafadhali.......manake jana nilikuwa naye maeneo

Nimefarijika kumwona BhT anachungulia chungulia walau..sijui ndo katoka maternity?
 
Back
Top Bottom