Hawa watu wananivutia sana

Hawa watu wananivutia sana

Dah!! hawa waasi waangalie sana wasije wakakufanya mateka ndio maana nimewawekea rangi nyekundu, hao kwenye rangi ya bluu ukiwafahamu basi hautasikia la kuambiwa, hao wengine kwenye nyeusi ni majirani zetu kuna mmoja ni mama mkwe wangu hapo.
Te Te Teh..na hivi ni mtu mzima atajua tu ni cha kufanya na kipi cha kufuata!
 
Tatizo wewe unaogopa cha Arusha....
cha ARUSHA!??

cha mtoto hicho kaka!

mi ninacho cha changarawe muulize BIGIRITA!.....kile kinachaangwanywa na samadi ya mbuzi muzee!halafu kinavundikwa toilet kwa 10days!hicho ukipiga pafu moja basi......................!jamaika hii hapa
 
Kaka unalalia nyasi sana nipasie na mimi nipige walau mbili
 
cha ARUSHA!??

cha mtoto hicho kaka!

mi ninacho cha changarawe muulize BIGIRITA!.....kile kinachaangwanywa na samadi ya mbuzi muzee!halafu kinavundikwa toilet kwa 10days!hicho ukipiga pafu moja basi......................!jamaika hii hapa

Asprin anaijua habari yake
 
cha malawi enzi zile bwana!

kitu cha changarawe pale mafinga!............

Beauty na Smiles wanataka shipment hawa si wanatutafutia matatizo eti wanataka kichanganywe na samadi ya nguruwe na mashudu halafu kivundikwe siku 10
 
Ninani kafurahia??na hapo je??wapwa??Jamani nyinyi mnasema cha arusha kote mbali umejaribu cha Tarime??kinaganda mikononi kupita msasa namba 100!
 
kubwa hhii kaka!
sasa mi nivute ndogo kama ya beauty na smile itakuwaje sasa?

Tatizo wewe unaogopa cha Arusha....

cha ARUSHA!??

cha mtoto hicho kaka!

mi ninacho cha changarawe muulize BIGIRITA!.....kile kinachaangwanywa na samadi ya mbuzi muzee!halafu kinavundikwa toilet kwa 10days!hicho ukipiga pafu moja basi......................!jamaika hii hapa

cha malawi enzi zile bwana!

kitu cha changarawe pale mafinga!............

Yaani hapa nina uhakika kabisa sielewi mnachoongelea.....
 
Beauty na Smiles wanataka shipment hawa si wanatutafutia matatizo eti wanataka kichanganywe na samadi ya nguruwe na mashudu halafu kivundikwe siku 10
Sisi wala hatujasema/kuomba, labda mngetupatia bible!!
 
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY

Kama wewe ni mwanaume, First Lady mwondoe kabisa kwenye list yako na usithubutu kumtaja tena. Watu wataku-pm sasa hivi halafu mkwara utakaoupata patakuwa hapatoshi. Hata hivyo usiwajali sana hawana lolote yeye mwenyewe keshawatangazia ukumbi mzima kwamba ni mke wa mtu, na kweli atakuwa hadanganyi sababu anaonekana ni mshauri mzuri sana hasa kwenye maswala ya migogoro ya wanandoa!
 
Owkay......sasa mbona hii tredi haihusiani na kilimo kwanza....:confused2:

Ni part and parcel kwasababu kuna wanachama hapa wanajihusisha na kilimo:becky::becky: lakini sasa :focus: umepata take away yako uliyoaagiza
 
hehehehe!
yaani jamani huku kinondoni huku dah!jamaa wanajitahidi sana kukisokota kiasi kwamba ukiiiii:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:

ni kama vile upo lanchi breakpoint
 
Back
Top Bottom