Matokeo ya kidato cha nne yamevuruga future za walio wengi kwani wengi walitegemea kupata alama nzuri zitakazowawezesha kuendelea advance, swali langu ni juu ya watahiniwa waliopata kwanzia div four 33 ambao ni wengi sana na kuna college zinazochukua hadi div four 33, kwa mf.akianza na cert ya journalism harafu akataka kwenda kusoma diploma ya law au adminstration inawezekana?