Hawa watu wanaweza kuendelea hadi elimu ya juu kwa fani yoyote watakayochagua?

Hawa watu wanaweza kuendelea hadi elimu ya juu kwa fani yoyote watakayochagua?

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
332
Matokeo ya kidato cha nne yamevuruga future za walio wengi kwani wengi walitegemea kupata alama nzuri zitakazowawezesha kuendelea advance, swali langu ni juu ya watahiniwa waliopata kwanzia div four 33 ambao ni wengi sana na kuna college zinazochukua hadi div four 33, kwa mf.akianza na cert ya journalism harafu akataka kwenda kusoma diploma ya law au adminstration inawezekana?
 
Wasituharibie taifa letu,waresit wakishindwa tena kufaulu basi waachane na elimu sababu hawana vigezo
 
Back
Top Bottom