Hawa watu wapo wapi siku hizi?

Hawa watu wapo wapi siku hizi?

Dr Ngoffi

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
58
Reaction score
5
Hivi hawa jamaa wako wapi now days Super Deo Compoza, Cris Faby, Peter Panatlaksi, Bob Digadiga, Masud Masud, John dilinga, Bon lov n.k
 
Walipata kuwika sana katika tasnia ya muziki na starehe enzi hizo.....
 
bony lov yuko wapi,? Umenikumbusa wimbo wa F.A mabinti damdam.

Juu ya hilo G.k. wapi sasa.? Last time niliskia anasoma tumaini campus ya dar.
 
Gk yuko kwao upanga mtaa wa nyangolo karibia na Meku bar Data
 
Gk yuko kwao upanga mtaa wa nyangolo karibia na Meku bar Data

Toka mitaa ya Upanga iwe Nyang'oro,Kilombero ama Karenga!! Du Jamaa bado anakaa kwao tu? Akitaka kumpiga dudu diva anaenda gesti au rum za kwao?
 
Back
Top Bottom