Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

Kwani nyakati hizo tanzania ilikuwa imezuiwa michezo ya kimataifa au kimataifa haikuwepo!?
 
Ilikuwepo,na tz ilikua inafanya vema,
Kipindi hicho sehemu kubwa ilikua ni kujitolea hata mishahara kama ilikuwepo basi ni finyu sana tofauti na sasa wachezaji wanapewa mpaka makazi,usafiri n.k
Kwani nyakati hizo tanzania ilikuwa imezuiwa michezo ya kimataifa au kimataifa haikuwepo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Nyerere na Zitto Kabwe…….!!!!!! Kweli…????!!!!
Huyo yuko kwenye payroll ya zito kwahiyo anapost chichote ilimradi zito anekane kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mwalimu Nyerere kuwekwa kundi moja na Zitto ni kumkoseq heshima Mwalimu.

Tuliokuwepo duniani enzi za Nyerere tulishuhudia uzalendo wake uliotukuka, huwezi kwa namna yoyote ile kumlinganisha na hawa madalali wa wazungu.
 
Umemsahau Tundu A Lissi
 
Mwalimu Nyerere kuwekwa kundi moja na Zitto ni kumkoseq heshima Mwalimu.

Tuliokuwepo duniani enzi za Nyerere tulishuhudia uzalendo wake uliotukuka, huwezi kwa namna yoyote ile kumlinganisha na hawa madalali wa wazungu.
Madalali wa wazungu? Kina mkapa na kikwete?? Hivi matehemu Seth chachage aliwaandika kina nani kwenye kitabu chake cha "makuwadi wa utandawazi"

We dogo tu. huna unalolijua hapa duniani zaidi ya ushabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…