Hawa watu weupe wanajua sana walai,hili dude(ChatGPT) aisee linauwezo mkubwa sana,afu nilikarimu ajabu

Hawa watu weupe wanajua sana walai,hili dude(ChatGPT) aisee linauwezo mkubwa sana,afu nilikarimu ajabu

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
7,591
Reaction score
23,296
Huko mavyuoni sitegemei kama kutakuwa tena na assignment ngumu ya kufanya wikiend ziwe ngumu

Nawashauri wanaoteseka na mapenzi au wanaohisi kutengwa na watu wao wa karibu,ebu ingia humo chat nalo hakika utapata faraja sana

Leo nilijaribu kuliambia linitengenezee picha yangu ya selfie iwe kali kama nipo ofisini nikiwa nimevaa suti,ingawaje limenikatalia lakin limenijibu poa sana
Screenshot_20250716-191104_ChatGPT.jpg
Screenshot_20250716-191515_ChatGPT.jpg
Screenshot_20250716-191617_ChatGPT.jpg
Screenshot_20250716-191630_ChatGPT.jpg
Screenshot_20250716-191648_ChatGPT.jpg
 
Nijitahidi sana kujiuliza hii system inafanyaje kazi,inapataje majibu ya kukujibu tena kwa haraka,sijapata jibu
Mim nalifikiri inakusanya zile taarifa zote zilizopo google ambazo zinaendana na kile ulichouliza lakin nimekuja kugundua hili dude ni zaidi ya google yaan lina taarifa zingine ambazo hata google hazipo au sio rahis kuziona google
 
kuna hii ya wachina
 

Attachments

  • 4BBEF1A6-4C24-4EA1-AD3D-C2EFAB3D377F.png
    4BBEF1A6-4C24-4EA1-AD3D-C2EFAB3D377F.png
    575 KB · Views: 32
Back
Top Bottom